Mradi Wa Bwawa La Nyerere Kukamilika Disemba

By / 10 years ago / Jamii / No Comments
Mradi Wa Bwawa La Nyerere Kukamilika Disemba

Dkt. Biteko asema kuwa Bwawa la Nyerere linatarajiwa kukamilika mwezi disemba…

Serikali imesema imeanza uzalishaji wa umeme kupitia mradi wa Bwawa la kuzalisha umeme kwa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115, ambapo uzalishaji huo umeanza kwa Megawati 235 kupitia mtambo namba tisa.

Hayo yamesema na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko Bungeni jijini Dodoma wakati akisoma hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

“Matarajio ni mradi huu kukamilika Disemba 2024 kwa mitambo yote nane yenye uwezo wa kuzalisha Megawati 235 kila moja kuwa inazalisha umeme”. amesema Dkt. Biteko.

Features
  • 9/10
    Design - 9/10
  • 8/10
    Development - 8/10
  • 7/10
    Support - 7/10
  • 10/10
    Page Speed - 10/10
  • 9/10
    Code Quality - 9/10
  • 10/10
    Other - 10/10
8.8/10

Summary

Pongezi nyingi kwa serikali ya rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hassan kwa hatua hii iliyofikiwa ya ujenzi wa bwawa hili la umeme litakalosaidia ukuaji wa seskta ya viwanda na maendeleo ya nchi kwa ujumla.

Sending
User Review
0 (0 votes)

admin

The author didn't add any Information to his profile yet.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked. *