Historia Kamili Ya Baraza Kuu La Waislamu Tanzania
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), linaadhimisha miaka 56 tangu lilipoanzishwa mwaka 1968. Bila shaka Watanzania wengi hawaifahamu historia kamili ya kuanzishwa kwake kulitokana na watu gani, walikutana vipi na nini kiliwasukuma kuanzisha chombo … Soma Zaidi »
Bakwata Yatangaza Sikukuu Ya Eid El-Adha Mwaka 2024
Dar es Salaam – Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata) limetangaza kuwa Sikuku ya Eid El-Adh’haa itakuwa Juni 29 mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na baraza hilo na kusainiwa na Katibu Mkuu wa baraza … Soma Zaidi »
Vitu 10 Unavyokosa Endapo Haujui Kusoma Quran Tukufu
Zifuatazo ni baadhi ya fadhila zilizotajwa katika Hadiyth za Mtume Muhammad (S.A.W), za kusoma na kuhifadhi Qur-aan tukufu. 1. Aliye Bora Kabisa Ni Ambaye Anajifunza Na Kuifundisha Qur-aan: Imepokelewa kutoka kwa ‘Uthmaan bin ‘Affaan … Soma Zaidi »
Jinsi Ya Kuwafundisha Watoto Wakati wa Ramadhani
Mtume Muhammad (S.A.W) amesema: “Hakuna baba ambaye amewapa watoto wake zawadi kubwa kuliko mafunzo mazuri ya maadili.” Mambo mengi ya Ramadhani – kufunga, maombi, maadili, hisani, Quran Tukufu, familia, Eid – hutoa fursa muhimu … Soma Zaidi »
Umuhimu Na Faida Za Lailatul Qadr (Usiku Wenye Cheo)
Fadhila Za Usiku Wa Laylat Al Qadir Zijuwe fadhila za usiku wenye cheo kuliko nyusiku ya miezi 1000. Umuhimu wa Usiku wa Lailatul Qadr umebainishwa wazi katika Qur-an kama tunavyojifunza katika aya zifuatazo: Katika … Soma Zaidi »
Mambo 13 Muhimu Katika Kudumisha Ndoa Katika Uislam
Ndoa Na Maisha Mazuri Yenye Starehe 1) Mafunzo ya awali Iwapo mimi nikitaka niwe daktari au niwe mhandisi basi itanilazimu kwa mfululizo kwa kiasi cha miaka miwili, au mitatu au mitano, kumi au kumi … Soma Zaidi »
Tuendelee Kudumisha Amani Tunaposherehekea Sikukuu Ya Eid
Tuendelee Kudumisha Amani Tunaposherehekea Eid WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasihi waislam nchini waendelee kudumisha amani, upendo, umoja, mshikamano, kuhurumiana, utulivu sambamba na kujiepusha na vitendo vinavyoashiria vurugu, uonevu na uvunjifu wa amani waposherehekea Eid … Soma Zaidi »
Dkt. Mwinyi: Zanzibar Ni Muumini Wa Dhati Wa Muungano
Rais Mwinyi awapongeza viongozi wa Tanzania na Zanzibar kwa kuulinda muungano Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kuwa muumini wa dhati wa Muungano, kwa kudumisha … Soma Zaidi »
Mradi Wa Bwawa La Nyerere Kukamilika Disemba
Dkt. Biteko asema kuwa Bwawa la Nyerere linatarajiwa kukamilika mwezi disemba… Serikali imesema imeanza uzalishaji wa umeme kupitia mradi wa Bwawa la kuzalisha umeme kwa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye uwezo wa kuzalisha … Soma Zaidi »
Serikali Kuboresha Posho Ya Kujikimu Kwa Wasimamizi Wa Uchaguzi
SERIKALI imefanya maboresho kwa kuongeza viwango vya posho za kujikimu wasimamizi wa uchaguzi kupitia waraka wa utumishi wa umma namba moja uliotolewa Mei 24, 2022. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira … Soma Zaidi »
Maoni Yenu